Maswali ya kijumla | Maswali yaliyolazimishwa kwa simu aukwa mzungumzo | Hakuna Malipo | Dakika kumi | Idara zote husika |
Majibu ya barua | Barua | Hakuna Malipo | Siku kumi | Idara zote husika |
Kulipa bidhaa, huduma na kazi | Stakabadhi za kuwasilishwa kwa budhaa au madai ya malipo | Hakuna Malipo | Siku thelathini | Uhasibu/Ununuzi |
Matangazo ya maombi ya misaada ya utafiti | Kujaza fomu za maombi | Hakuna Malipo | Siku sitini | Idara ya usimamizi wa misaada ya utafiti |
Ukaguzi wa maombi ya misaada ya Utafiti | Maombi kamili ya misaada ya Utafiti | Hakuna Malipo | Siku thelathini | Idara ya usimamizi wa misaada ya utafiti |
Kutoa zabuni na nyaraka za misaada ya utafiti | Anwani kamili | Hakuna Malipo | Siku thelathini | Afisa mkuu mtendaji/Kitengo cha sheria |
Utoaji wa misaada ya utafiti | Mkataba uliosainiwa wa ruzuku ya utafiti | Hakuna Malipo | Siku thelathini | Afisa mkuu mtendaji/Kitengo cha sheria/Uhasibu |
Ushirikiano katika ufadhili na utafiti | Makubaliano na barua za maelewano zilizoidhinishwa | Hakuna Malipo | Siku tisini | Afisa mkuu mtendaji/Kitengo cha sheria/Idara ya Ushirikiano |